Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahha
Hii asome andjul tu
Mimi nimepita bila kusoma [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Njia za kukusaidia
1. kucheka pamoja
Kicheko ni mlango wa ukaribu, kama mwaweza kucheka pamoja basi mwaweza kulia pamoja, na hapa mwaweza kuaminiana zaidi katika kuwasiliana hisia zenu, kama waweza kuitafuta furaha katika kila kitu basi unaweza kupenya katika vyote.
 
2. Jifunzeni kutiana moyo
Kila mmoja awe msaada na tegemeo kwa mwenzake. Jifunze kumtia moyo na kumwezesha mwenzako. Sikiliza na kufuatilia vile mwenzako afanyavyo au apendavyo. Onyesha heshima katika vitu hivyo pia. Kila upatapo nafasi mpongeze mbele za watu au hata unapokua nae peke yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…