Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe tunamtafuta huku haya adeka huko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kazi kukumbushia madeni ya wenzie tu
 
Hawa wa koromije wanavyo penda sifa,isijekuwa kaenda kuliwasha li helicopter ili aje aniringishie muuza maparachichi wa watu[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] mweee!!!!
Lihelikopita limeuzwa. Sasa ni ka gafustrimu. Tayari ujenzi wa kiwanja hapa unaendelea na wanakijiji tumefurahia sana. Siku kikitua hapa itakuwa sherehe ya kufa mtu na mimba zisizotegemewa bila shaka zitatungwa siku hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…