Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sijaelewa wacha niendreeee[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Anakutaka. Anasema kuwa unahitaji za aina aina na usiridhike na moja. Utamuweza Mnyakyusa huyu? Na kwa vile una msambwanda basi ni shida....
 
Muuuuu! Muuuu! Mpaka Tukuyu...Mgonjwa hali yake inaendeleaje?
Mkuu ujio wangu humu ni ili nikutane na ndugu zangu wenye kujua maana ya faraja ni nini. Hakuna unafuu,sijui,labda nakata tamaa mimi,Mungu anipe ujasiri... Sipendi kukuuliza wewe maana naogopa,naangaliaga posts zako,zikiwa za furaha najua mama anaendelea vizuri.Tuwaombee sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…