Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Meseji yenye uliandikwa hivi: ‘Umejaaliwa kweli, yaani mumeo anafaidi sana.’ Baada ya kijana huyo kumtumia mke wa mtu huyo sms hiyo, bila hiyana yule mke wa mtu akajibu: Mh!Una mambo wewe, au na wewe unataka?”
 
Kuchati huko ndiko kulikomfanya rafiki yangu kuona mkewe amejiachia sana kwa kijana huyo kiasi cha kufikia hatua ya kuambiana maneno hayo. Cha ajabu mke wa mtu huyo alijitetea kuwa walikuwa wakitaniana tu.
 
Kama ulikuwa hujui, wanaume wengi wanapotaka utani na mke wa mtu, wanatengeneza mazingira ya kutongoza na wachunguzi wanaeleza kuwa, mke wa mtu anapotongozwa na mtu ambaye wamekuwa wakitaniana sana tena ule utani wa kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…