Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha.
Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha.
Kutengeneza na kuuza tofali
Ufundi, Website updating/Database: Katika Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya na Makampuni mbalimbali.
Kuanzisha kituo cha redio na televisheni
Kufunga na kutengeneza vifaa mbalimbali vya electroniki na mawasiliano mfano; compyuta na vifaa vya compyuta na mawasiliano.
 
Kuuza software; mfano Antivirus, Operating Systems, Pastel, Tally, Myob, n.k
Kushona na kuuza nguo.
Kufungua Duka la kuuza nguo mpya; suit, socks, batiki, nguo za asili, Mashuka, Mashati, Suruali,
Ufugaji wa mifugo mbalimbali mfano Kondoo, Mbuzi, Ng’ombe, Kuku, Bata, na wengine.
Kufungua stationery, kuuza (supply) vitabu na vifaa mbalimbali ktk mashule na vyuo.
Kutoa ushauri mbalimbali wa Kitaalamu.
 
Kuuza viazi, mahindi, mihogo, kutengeneza popcorn na kuziuza.
Kusajili namba za simu na kuuza vocha
Kuwa na mradi wa Pikipiki zisizotumia mafuta na zinazotumia mafuta
Kilimo cha mazao mbalimbali kulingana na hali ya hewa ya sehemu husika.
Kuuza Mitumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…