HahahahaWashabiki wa Man U naona leo mmecharuka kweli kweli. Kwa vurugu hizi naomba mpigwe hata tano bila !!!
Me naomba namba ya mzee wa tukuyu tu mana nimem miss[emoji38][emoji38]Naombeni likes 10 za fasta fasta.
HahaahaNawafungwe tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Habari ya wewe mpendwaNakusalimu we bi mdada
HahahahahaManutd inatisha