mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Aaa wapi. Kama umepiga mijibapa hapa rahisi sana kuRIP...[emoji23][emoji23][emoji23]Nice place to live
Umenikumbusha mbali sana kama sikosei kitabu cha nne au tano[emoji24] [emoji24] [emoji24]Hahahahaha
Aisee hili kwa dada zetu mama kijacho hapo mate lazima yatoke[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Minazi mirefu
Chaputa inalostisha macho?Mi naamini misosi ndio mpango mzima maana strong chaputa kitambo sana [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
nafight with my weather[emoji23][emoji23]
Nafikiri ulikuwa ugomvi wa kufa mtu huwa wana territory yao kila simba dume hatawatakiwi kuingilianaHivi hawa simba huwa wanakulana wao kwa wao?