Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Ligi ya england haina mahesabu hayo, rushwa, ramli tupa kule. Ufundi na malupulupu hufanya kazi yake. Mechi mbili huonyesha mwanga, lakini haziwezi kutoa maamuzi.Zitafika Ninakuhakikishia hii ligi game over