Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sema bageshi. Afadhali ametulia. Leeni wanenu na kupanga maisha ya baadaye...Nakupenda bageshi!!!Kaka nakusalimia, mm na familia yangu hatujambo kbs. Huyu muhenga sasa hv ameamua kutulia kbs ndio maana unaona hakuna mashtaka.
Asante kaka, nakupenda pia.Sema bageshi. Afadhali ametulia. Leeni wanenu na kupanga maisha ya baadaye...Nakupenda bageshi!!!
Nasikia bomberdier imeonekana mwanza buzuruga.
Nitapita Shinyanga nile ugali na maziwa au michembe...Yule jamaa vipi?Asante kaka, nakupenda pia.
Karibu sana tu, yaan utakula hadi utakimbia mwenyeweNitapita Shinyanga nile ugali na maziwa au michembe...Yule jamaa vipi?
Wabeja nkoyi !!!Karibu sana tu, yaan utakula hadi utakimbia mwenyewe