Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mechi mbili mapema sana wakuu tusubiri kwa predictions hizo kwa hiyo na Huddersfield nao ni mabingwaLigi ya england haina mahesabu hayo, rushwa, ramli tupa kule. Ufundi na malupulupu hufanya kazi yake. Mechi mbili huonyesha mwanga, lakini haziwezi kutoa maamuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanasema waliokwenda wote wagonjwa loliondo kwa babu
Afadhali hizi picha at least tunachangia sasa wewe mwanzo mwisho namba tu[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
My jumatatu iko powa kabisa.When the pain cuts you deep
When the night keeps you from sleeping
Just look and you will see
That I will be your remedy....[emoji445] [emoji445] [emoji445] naupenda huu wimbo
Za jumatatu prince cole williams
Babu alimeki hela hatari