Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Asante shemeji. Mama hivyo hivyo tu. Ni kumtegemea Mungu basi. Jumatatu yako imeendaje?Naimani anaendelea vizuri na mzee,Mungu ampe nguvu[emoji120][emoji120][emoji120]
Mama aendeleaje shemeji?
John cena
Teh teh teh but no proof of healingWanasema waliokwenda wote wagonjwa loliondo kwa babu
[emoji23] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeehhWhaaaaaaaat ????
Baada ya kutekwa naona amerudi kivingine. Safi sana !!!Mchina unatisha
Mbavu zangu mchina Leo dah
Liver haina bao teh teh tehMechi mbili mapema sana wakuu tusubiri kwa predictions hizo kwa hiyo na Huddersfield nao ni mabingwa
[emoji23][emoji23][emoji23]huyo jamaa duuh!
Cole Williams,habariMy jumatatu iko powa kabisa.
Hope you are fine, nakukubali sana Shemeji langu la nguvu kwenye hii sector
CantstopwontStop
[emoji125] [emoji125] [emoji125] ngoja nikufuate huko unakoendagaThat sounded just right...Mambo vipi ho...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
WrongHii possibly itakuwa ni reply ya 301,966 kama hakuna mwengine alie hit send button kabla yangu
[emoji4][emoji4][emoji4]love birdsI'll never break your heart SYB
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]mzima weweNjema nimekumiss sana!
Bajeti ya matibabu ya viongozi ng'ambo ni sirikali sana hata bunge haijui!Mawaziri hawa walifakamia uchafu wa huyu mzee. Unawaona wanang'ara full viyoyozi kumbe wagonjwa tu !!!
Nzuri ShimbaLikers. Jumatatu inaendeleaje?
serikali nzima waliishia huko! Wengine walikuwa wajanja hawakupigwa picha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanasema waliokwenda wote wagonjwa loliondo kwa babu
Mungu amsaidie...Asante shemeji. Mama hivyo hivyo tu. Ni kumtegemea Mungu basi. Jumatatu yako imeendaje?