Safi sana hii nimeipenda balaa
Pengine ukitekwa unaonyeshwa alichokiona mtema kuni. So ukirudi inakuwa siri yako kwa sababu hakuna anayejua huyo mtema kuni aliona nini. Kutekwa ni shida..Mchina kimempata nini jamani tangu atekwe[emoji23][emoji23][emoji23]maana nashindwa kumuelewa
Hatujambo300k aiseee uuuuuh I am wondering jameni hadi nimeshindwa kutoa salamu.
Byutifuuu!!!
Hii ni ya galaxy universeSpidi hii sio ya nchi hii wandugu.
HahahahaHii ni ya galaxy universe
Hivi 300k kachukua nani?Hii ni ya galaxy universe