Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Nilijua ni ww, kumbe na hii imekupita.Hivi 300k kachukua nani?
Imenipita mwaya sijui hata nani kabebaNilijua ni ww, kumbe na hii imekupita.
Mtema kuni ni mtu hatari sana!Pengine ukitekwa unaonyeshwa alichokiona mtema kuni. So ukirudi inakuwa siri yako kwa sababu hakuna anayejua huyo mtema kuni aliona nini. Kutekwa ni shida..
Salama kabisa nsamakaHabarini mabibi na mabwana,
[emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha kuna watu walipangiwa field waende makete halafu ni kundi la boys watupu waligoma,wanakwambia ukijikwaa tu PEP inakuhusu...hali si nzuri etAtlanta ni ground zero ya UKIMWI USA. Watu wanachukua tahadhari hata kwenye texts. Yu neva nooo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mother Nature
[emoji23][emoji23][emoji23]mtema kuni alikufanya nini ho?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu mzee wa misam....... HajamboToka pande za tukuyu, mm na familia yangu tuko poa kbs.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee wa sadolin upo?
Nipo pande za huko mko poaMzee wa liver
Salama kabisa carbaSalama tu sijui wewe
[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]Isis kwema? Msalimie mwenzio