Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hata sielewi kwakweli hebu nijaribu kuuliza kama kuna kitu nyuma ya pazia...ila nakumbuka kwetu tulikuwa tunakula makande 4 times per week na siku za kwenda shamba tunakula kutwa mara 2Kwako na Dr Numbisa hivi kwa nini shule nyingi za boarding za girls kwenye ratiba ya chakula lazima makande yawepo
Lakini boys school no
Kwa kikosi cha liver this season hakuna cha kushangaza kabisaLiver haina bao teh teh teh
Wanasema ni usalama kwa taifaBajeti ya matibabu ya viongozi ng'ambo ni sirikali sana hata bunge haijui!
Hahahahaha hata masai alikwendaserikali nzima waliishia huko! Wengine walikuwa wajanja hawakupigwa picha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani my princess Leo nashindwa kabisa kumsoma huyu mchinaMchina kimempata nini jamani tangu atekwe[emoji23][emoji23][emoji23]maana nashindwa kumuelewa
Kwenye vita utoi silaha zote lazima unaacha ya maangamiziHuo msemo naukubali sana wajua si kila mtu atafurahia mipango yako kwahiyo uwe makini sana na mtu wa kumwambia
Me naleta kibiriti na petrol[emoji12][emoji12]Hayo mapicha picha ya Manchester united humu ndani hayo,nitaanza kuyachoma moto
Zimeanza kuchagia nini MkuuLikes naona zimeanza kuchanganyia