Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Kabisa MkuuBinadamu sisi hakuna kitu aisee. Total solar eclipse hapa yaani kila kitu kimyaaa. Ni mambo kama haya yanayopaswa kutukumbusha kuhusu nafasi yetu katika ulimwengu huu na malimwengu mengine!
Diamond RingBinadamu sisi hakuna kitu aisee. Total solar eclipse hapa yaani kila kitu kimyaaa. Ni mambo kama haya yanayopaswa kutukumbusha kuhusu nafasi yetu katika ulimwengu huu na malimwengu mengine!