Wewe utakuwa mtoto wa kitumbini/Mchafukoge, City Center hapo! [emoji3] Vitu vingine ulivyovitaja hapa wala havipo tena, imebakia story tu! Mfano Tanganyika motors! Hivi kuna nini siku hizi pale? Sijapita mitaa hiyo kitambo sasa! Na hiyo Zahil bado wanachoma kuku wao wale?[emoji3]