mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mzee wa Tukuyu niaje
Tukichoka kuandika andika tinatupia nambariZisiwe nyingi!
Utakuwa uzi wa manamba kila mtu akiweka namba!
Kazi kweli kweli walahi!
Haya na mimi manamba tu!
Kwema kabisawakuu ni kwema humu ndani
Uzi uko poa mkuu
HahahahahaAsante Mulangira. Lazima Mzee wa Liva apigweee. Bob12 unasemaje?