Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kuna wakati unakuta watu kama 6 wote wanapiga namba. Mimi huwa naleft kwanza na kurudi baadaye hali ikipoa. Ni likes ndiyo but geez !!!Zisiwe nyingi!
Utakuwa uzi wa manamba kila mtu akiweka namba!
Kazi kweli kweli walahi!
Haya na mimi manamba tu!
1Mke wa mwizi na wa jamaa the same
Safi kabisa brother, aje huko?Mzee wa Tukuyu niaje
11
Hawapendagi ujingaHahahahaha
Asiyejua lazima apigwe hakuna namna
nipo mkuu