mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
88
nipo vijijini huku network mpaka upande juu ya mlima, asanteKaribu ulipotea kidogo lakini pokea like yako
99
1001000
No pain no gain!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kuna wakati unakuta watu kama 6 wote wanapiga namba. Mimi huwa naleft kwanza na kurudi baadaye hali ikipoa. Ni likes ndiyo but geez !!!
Nakwenda ZimbabweNdiyo ajenda kuu ya hawa jamaa kwa sasa. Ukigomea hayo mambo msaada hupati !!!
Ukipanda pesa, utavuna pesaView attachment 572139unavuna unachopanda hapa hata kabenki unaweza pata
ha ha ha mweeAfadhali sio ringtone hehehe
Nisalimie mwenyeji wako romaNakwenda Zimbabwe
Ndiyo ajenda kuu ya hawa jamaa kwa sasa. Ukigomea hayo mambo msaada hupati !!!
Yamekufika hapaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu wa Pemba, inaonekana una interest kubwa na Jakitoo, kulikoni? Nauliza tu kwa nia njema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AminaGlory to God. Hata mimi kaunafuu kapo. Tumshukuru Mungu na tuendelee kuomba [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]