ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Nipo shemeji. Tulikuwa hapa na akina Andjul tunakusema. Basically tulikuwa tunawatafuta wewe na KK mje muungane na bilionea wa maparachichi ili uzi uchangamke. Afadhali umekuja. Pole na majukumu !!!Nakusalimu shimba ya koromije,habari ya uzima...msalimie kwini wa karomije[emoji6]
We ukishazigonga subiria uone nami moto wanguN311