[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu mzee hafaiHahahahaha
Mchina anataka kuwa mkata umeme
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mchina mchinaKuna vitu kadanganywa huyo si bure,
Anasema atakufuta machozi yako kwa kichwa?
Pole sana maana hakitakomea kichwa kimoja ni vichwa vingi tu,
Na anapiga vichwa sana huyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimefika[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Si unamuona anakuja na bombardier
Iko wapi hii manzari mazuri pa kuishi
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Nilikuwepo siku ile, wakati Majid musisi alipodhibitiwa na jamuhuri kiwelu Julio na Paul Hasule RIP alipogeuzwa njia na Issa Kihange. Sijasahau ile gameFinal with Villa sports club
Mechi hatari sana naikumbuka sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wapi Shimbaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sina cha kuongeza hapa nitaharibu
Yap
Safi Sana tu wazima tupo kwenye malikes tu hapaNashukuru Mungu kwakweli me mzima sijui wewe