Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hi. Karibu sana kwenye uzi huu usio na stress...Unagonga likes na wewe unagongewa likes za kutosha. Na mengine yanaendelea!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi like ya kumwaga isiyo na masharti
 
Asante mkuu
Ila Nina kamba mguuni nifungue basi siunajua ugeni naogopa kupotea

invest what you are willing to loose
Hapa unatoa likes. Na wewe unapewa likes za kutosha. Everything goes isipokuwa picha chafu, matusi, siasa na dini. Mengine yote ni sawa na tegemea utani (wenye heshima) kwa wingi. Vijana pia watakutembelea na kukuuliza uliza vitu binafsi kama ilivyo kawaida (kutafuta wenza). Jisikie huru !!!
 
Asante mkuu
Ila Nina kamba mguuni nifungue basi siunajua ugeni naogopa kupotea

invest what you are willing to loose
Ukiingia kwenye huu uzi, kamba inajifungua automatikale,muhimu usiposti matusi wala picha za kuudhi watu.Karibu sana.Mimi mwenyewe nimejiunga jana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…