Maelekezo mazuri kwake.Ahsante mkuu,maana umri wetu unaenda tutafute warithi wa uzi huuHapa unatoa likes. Na wewe unapewa likes za kutosha. Everything goes isipokuwa picha chafu, matusi, siasa na dini. Mengine yote ni sawa na tegemea utani (wenye heshima) kwa wingi. Vijana pia watakutembelea na kukuuliza uliza vitu binafsi kama ilivyo kawaida (kutafuta wenza). Jisikie huru !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kazi nyingi hadi unaona usaidiwe na jibapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yule mzee kaaga mapemaho chi minh ule mzigo wako ulioniagiza umeupata wa karanga nk
The wise man
Kichwa kipi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Una boost kichwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyo mzee ndio atinituma nilivyokwenda kijijini kule.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yule mzee kaaga mapema