Mkuu kwema?
Tupo mkuu nimepita kidogo ndio nilipata mda hapa kuingia humu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo mzee ndio atinituma nilivyokwenda kijijini kule.
Nimemletea karanga mbichi gunia 1
Mihogo nayo mingi. Sana.
Hivi karibuni nimesikia amekwenda ku order 4.5kg za pweza.
Mzee wa dataThe wise man
ShemejiiiiMzee wa data
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kichwa kipi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sema kamanda. Mchana tulikuwa na Carba. Tulikutafuta sana. Pole sana na majukumu !!!
ISIS amekataliwa kupost mipicha ya kutisha kaamua kulala[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]