Smoked salmon na redwine + toto ya uhakika is what I call perfect evening...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daily news wameripoti kwa kiswahili.
Aiseee!!! Hivyo vitu vina heshima yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukweli huwa hauhitaji lugha ya staha wala nini. Una uwezo wa kujisimamia wenyeweNdivyo ilivyo.Tulisoma kwa maelekezo ya jamii iliyo tuzunguka,watoto wa matajiri walisoma kwa maelekezo ya wazazi wao.Mnisamehe kwa lugha isiyo na staha
Harufu naona leo umehamia aquarium mkuu. Safi sana !!!