Uzi wa kijanja, ulipigwa vita sana sasa wanaanza kuutolea povu!!Tumejumuika tena kwenye Uzi wetu pendwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo mzee ndio atinituma nilivyokwenda kijijini kule.
Nimemletea karanga mbichi gunia 1
Mihogo nayo mingi. Sana.
Hivi karibuni nimesikia amekwenda ku order 4.5kg za pweza.
The one and only
Hatari sana....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Haka kazee haka
In jembekilo voiceUzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa hata ukicomment herufi moja tu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau