Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FOREHEAD KISS AFTER SEX. Wakati wa kufanya ROMANCE Ni Asilimia moja pekee ya wanamme ambao huwabusu kwenye paji la uso wapenzi/wake zao.Hao Asilimia moja wengi unakuta ni bahati mbaya au wengine hufanya wakihisi ni part ya ROMANCE pia.KISS YA PAJI LA USO haina umuhimu wowote wakati wa ROMANCE Kwasababu wakati wa ROMANCE kitu mwanammke anachohitaji ni stimulation(Msisimuko/mzuka). FOREHEAD KISS inatengeneza hisia tofauti kabisa na hisia zinazohitajika kabla ya sex.KISS YA PAJI LA USO Haihusikani kabisa na kumtengenezea msisimuko wa kufanya mapenzi Mwanammke.FOREHEAD KISS Inamaana nyingine kubwa sana. Naomba niongelee maana na Nguvu kubwa ya FOREHEAD KISS baada ya kufanya mapenzi.Kitu cha kwanza inategemea na
 
position.Kuna wakati mwanammke anaweza kuwa amelala chali,Kwa coincidence kama hio ili FOREHEAD KISS YAKE ilete maana utamkiss kwenye paji la uso huku ukimgusa gusa nywele na sio mbaya ukipitisha kidole kuzunguka sikio lake. FOREHEAD KISS nzito inapendeza ikiwa Mmekaa,Mmelala au mmeegemea ukuta then ukamlaza kifuani,Then ukawa unachezea nywele then una mkiss kwenye paji la uso. Kitendo cha kumkiss kwenye paji la uso mwanammke baada ya Sex kinabeba sense ya ubinadamu mkubwa sana.Kinaonyesha ni kiasi gani unathamini utu wake na sio SEX Pekee.Kuna baadhi ya wanawake hujisikia weak baada ya sex,Unapombusu kwenye paji la uso unamtengenezea mazingira flani ya kujisikia
 
yuko protected. Mwanamme baada ya kufanya naye SEX,Akakukumbuka bado upo,Akakushika na kubusu Paji la uso ni kitu ambacho mwanammke unatakiwa kuwa proud sana.Hakuna raha yoyote mwanamme anapata akimbusu mwanammke kwenye paji la uso,unachotakiwa kufahamu anakuwa anafanya hivyo kwa ajili yako tu. FOREHEAD KISS inamfanya mwanammke kujiskia conforted(bembelezwa) na kama ishara ya kupewa pole kwa kazi nzito.Ni ishara ya kupongeza na ku appreciate kwa kila kitu umemfanyia wakati wa sex.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…