Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
ho chi minh ametoka kwa dhamana kwa kuwinda dogo dogoNyapia dah
Hili neno long time kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Atakuwa amehamishia makazi humoGari la kichwa toyota carat T 027 AAA.
Ndani kaweka shuka, sabuni, taulo,perfume,dumu la maji,pipi,chanuo,mafuta.
Nataka leo aseme nini sababu ya vitu hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari mkuuUnakuwa sio mrefu,anavyotembea anakimbilia mwilini kujishikiria
Serikali babaKwahiyo ile biashara yako ya kuwatafutia wadada mvuto kwa kujifanya we mganga imekuwaje??
Amekufanyia kitu gani mpaka utake asirudi?We nenda tu huko na usirudi.
Siku njema pia
Jibapa na biashara wapi na wapi?Nakuwa navyo kwa ajili ya biashara tu
Kuhusu vile visichana ni kweli.Nadhani mzee ya batoto [emoji276] alinizunguka,
Tulikuwepo maeneo yetu na visichana viwili alivyokuja navyo happ ebana,
Si kasema anatoka kidogo,
Mara askari hawa,
Ikabidi nichukuliwe na hao jinsia nyungine,
Niishie hapo tu
Sent using Jamii Forums mobile app