ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Kumbe Andjul nae ana hirizi kama ya kwako?Kweli umetoka korokoroni hadi umeanza kusahau sahau na kuchanganya mafile andjul ndiye alimeza hirizi ilikulinda zizi lake
Njema kabisa boss alibakariWakuu habarini zenu?
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]   [emoji100][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125]
Take away zimeisha me nanywea hapa hapa kibandaniChukua mbili moja yangu
Kweli ulipotea kuna usalama lakin kiongoziNimerudi tena baada ya kupotea kwa muda
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]   [emoji100][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125]
Nilikuwa salama, hadi sasa nip salamaKweli ulipotea kuna usalama lakin kiongozi
Au ulitaka kuvamia zizi ukakuta msingi imara?
Mzee mwenzangu si unajua nyumba ipo rehani kwa madeni muda wowote wanaiuzaSafi sana mkuu,
Perfumes, chanuo na pipi navyo ni kujipanga kwa vita?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jana alikuwa anaomba ifungwe jumapili[emoji23] [emoji23] [emoji23] Shimba amesema aseno ikianza kushinda ataihama maana amesha yazoea maumivu ya kufungwa
Atarudi tu mkuu maana alikuwa vizuri sanaTumemisi mshindo wake wa kuwa wa kwanza kureply kwenye nyuzi na kubold...
Swalamaaa sana aliiiWakuu habarini zenu?
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]   [emoji100][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125]
Hebu angalia kipanda ya upande wa kushoto hapo nadhani zitakuwepoTake away zimeisha me nanywea hapa hapa kibandani
Pamoja sana mkuuNilikuwa salama, hadi sasa nip salama
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]   [emoji100][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125]
Inshallah...Atarudi tu mkuu maana alikuwa vizuri sana
carbamazepine anajua alichokifanya mtafute akwambie mzee mwenzanguAu ulitaka kuvamia zizi ukakuta msingi imara?
Sema ukweli kichwa kichafu.
Sent using Jamii Forums mobile app