Kwa kazi maalumSafi sana mkuu,
Perfumes, chanuo na pipi navyo ni kujipanga kwa vita?
Sent using Jamii Forums mobile app
Andjul hirizi yako ina ukubwa sasa na ya kichwa kichafu?Haaaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kichwaaa!!!!
Aache kunisingizia huyo. Hirizi ya nini wakati sina tabia ya kuachwa na mke? Mkuu jitahidi kutokumuamini sana Kichwa
Mzee wa mirangi rangi kwema?Nilikuwa salama, hadi sasa nip salama
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]   [emoji100][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125]