Ni kweli tumemmiss sana
HahahahahaHapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mchina alisema ongezea na karanga mbichi, maparachichi na miwa + maziwa mgando ukiweza . Hata huko kwenye njia salama unakotaka kwenda ukifika wataku-aprishieti. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Sawa[emoji4] Natamani warudi pia coco sijamuona humu mudaaaAmepotea sana. Na cleverKING mzee wa busara. Kila mmoja ana staili yake ya kuchangamsha jukwaa. Pamoja na Coco. Natamani warudi...
That's all....
Good evening my loveGood evening my dear
Weather imenishindaBado unahangaika na your weather au weather yako ilishatengemaa?
We jamaa we sikuwezi. Uhuru ni wako mkuu [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Chachu safi kabisa,ni sawa na kula mlonge tu
Bado mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi ligi ya bongo haijaanza eeh?