Vichaa walikua wanasafirishwa kwenye gari, sasa kadiri gari ilivyokua inaenda speed kichaa mmoja akawaambia wenzake, angalieni miti inakimbia kuliko gari,
"kichaa mmoja akajibu, saa ya kurudi tupande miti"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]