Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Na watapanda kweli ohooo!Vichaa walikua wanasafirishwa kwenye gari, sasa kadiri gari ilivyokua inaenda speed kichaa mmoja akawaambia wenzake, angalieni miti inakimbia kuliko gari,
"kichaa mmoja akajibu, saa ya kurudi tupande miti"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mr. Ukweli na Uwazi aliaminiwa sana na Mwalimu. Mpaka akapigiwa kampeni za urais. Alivyomgeuka sasa. Maajabu ya wanasiasa !!!
Huyo katikati mnafiki. Ndiye alimpa masilaha makali Idd Amin wakati tunapambana naye.
Generation hii ya kwanza ya viongozi haitakaa itokee tena
Pengine ndiye alikuwa mfuasi pekee wa kweli wa nadharia za Mwalimu....
Huyu Mmasai alikuwa shida!
Respect
Waliokuteka kwa kweli usiwaonyeshe upendo kabisa. Kama mbwai mbwai tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]