Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bob...Zis izi fo yuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

I love God who gave me strength

I love my daughter viv [emoji7]

I love works of hands that bring me money

I love my true friends and people who challenge me to go forward.

I love Arsenal football club.

Ambacho sijataja hapo ujue napenda temporary


Ukisikia napenda kingine hapo ujue ni temporary love
 
Daktari pia anaweza kupima kiasi cha bacteria ‘H. pylori’ kwa kutumia kifaa kinachoitwa fiber-optic endoscope, ambacho kitamsaidia kubaini tatizo kabla ya kutoa ushauri wa kitabibu. Kipimo hiki hufanywa kwa kuingizwa tumboni kifaa cha kamera chenye umbo mfano wa bomba jembamba ambacho humwezesha daktari kuona vidonda vilivyo tumboni kama inavyoonyeshwa hapo chini.
 
Ni vyema kufanyiwa vipimo kabla ya kuchukua uamuzi wa kutumia madawa baada ya kuhisi dalili.

Mambo ya kuzingatia ili kuepukana na tatizo la vidonda vya tumbo
i. Epuka matumizi ya sigara au tumbaku ili kujikinga na athari za kupata vidonda vya tumbo. Sigara na tumbaku zina kemikali inayoitwa Nicotine ambayo inaweza kukusababishia vidonda vya tumbo. Tafiti zinaonesha kuwa watumiaji wa sigara na tumbaku wana uwezekano mkubwa wa kupatwa na ugonjwa huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…