Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ushamba Mheshimiwa. Nikakandwa kandwa na maji ya moto. Sauti nyororo, vidole laini, jicho la kungu, sauti itishi mhhh. Ilibakia kidogo tu mambo yaharibike zaidi lakini nikatumia mbinu zile zile ambazo huwa nazitumia bungeni kukubana nikasepa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mheshimiwa Unalizwa? Ama kweli ujanja bungeni tu
Pole Mheshimiwa.. Pole Mkuu
Tupo mkuu. Karibu sana !!!Kwema humu
Pamoja mkuu
Asante mkuu
Bro, shemeji yangu yuko wapi leo? Sijamuona kabisa humu japo nami nilikuwa nimetoka kidogo...Represent
CantstopwontStop
Majukumu Tu ila yuko powaBro, shemeji yangu yuko wapi leo? Sijamuona kabisa humu japo nami nilikuwa nimetoka kidogo...
Very creative [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
DuhAmebanwa na haja lakini namna ya kujinasua kutoka kwenye hii kadamnasi afike chooni ni shughuli pevu.
nice to hear that !!!Majukumu Tu ila yuko powa
CantstopwontStop
Naona liver imepangwa kundi la kifo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ndio nafuatilia taarifa