Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ibada ilipo karibia kuisha mhubiri akauliza; "anaye taka kuokoka anyoshe mkono!" watu wote kimya. Tajiri mmoja akapita mbele akasema; "jamani mhubiri anauliza anaye taka kuokoka anyoshe mkono! "mtoto mmoja akanyosha mkono. Tajiri akampa yule mtoto laki 3
Akawageukia waumini akauliza tena; anaye taka kuokoka anyoshe mkono" waumini wotee wakanyosha mikono, cha kushangaza alipo geuka nyuma akakuta mhubiri naye kanyosha mkono
#Shikamoo_pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…