Good morning my loveAMUN RA
Weekend nyingine tena ya epl
HahahahahaKwani hauwezi niita kistaarabu? Utaniua kwa mshituko mwenzio[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Hee kisa mpira haiwezekani banaHuogopi kupata shinikizo la moyo wewe eeh?
MayweatherJamaa yupi Mkuu?
Weekend nyingine tena ya epl
Hee kisa mpira haiwezekani bana
Indeed my loveThat my Queen
Wewe je?Hebu niambie Numbisa, nawe ni mpenzi wa timu ipi?