Morning brother. Naona malkia ISIS ameaka na afya njema,sura yenye bashasha tele[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Morning Mkuu
IndeedMama TANZANIA
Umeamkaje mama,unajua Shimba na mzee wa ini ni wakorofi mno.Nadhani wananionea kutokana na uzee wanguHahahaha
Nzuri sana
Walahi ukiwapo humu ni furaha kubwa!
Ubarikiwe kwa kuongeza maisha ya watu kwa vichekesho vyako
Barikiwa sana sana my brother
Ile list yako!
Asalale kali!
Hahahaha
Pose la arsenal
HahahahahaHahahaha
Nzuri sana
Walahi ukiwapo humu ni furaha kubwa!
Ubarikiwe kwa kuongeza maisha ya watu kwa vichekesho vyako
Barikiwa sana sana my brother
Ile list yako!
Asalale kali!
Hahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shemeji! Mimi huyu. Nakuonea. Umenioneaaaa !!!Umeamkaje mama,unajua Shimba na mzee wa ini ni wakorofi mno.Nadhani wananionea kutokana na uzee wangu
Ndio mkuu,kwetu ndio tunaamka kwa kujikongoja.Huku kheri bhana, mambo vipi? Weekend ndio ishaanza sio?
IndeedSmart girl!
Boxing siyo WWE mkuu. All it takes is just one well placed punch and it's lights out.
Ila jamaa wanavuta hela ndefu sana. Hilo tu ndilo linaniuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wazungu wanapenda sana breaking news atakifa lakini ameacha habariHahaha shughuli hio
Kwa case ya GeJo,Kichwa Kichafu ndio tatizo,mbaya zaidi hata Baby doll nae kaondoka.Nitarudi baadae...Dah! Kweli aisee hata GeJo naye sijamuona siku mbili hizi? Yupo Mkuu? CleverKING uko wapi Mkuu?