Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Sema bro. Nakuona...SHIMBA YA BUYENZE
CantstopwontStop
Lilikuwa tangazo la kichwa hilo,Pole sana mkuu japo siamini. Dadangu angekuwa so expensive asingeangukia kwa Mpare ambaye nyie mnadai eti ni denti mpaka kwa mikwara tu mkaitisha na harambee humu ya kumchangia hela za tuisheni. Na kama kweli ulikombwa kila kitu, hivi vita vya kubomoa mazizi ya watu ulivyovitangaza hapa utavipiganaje?
Ila kweli umepitia mengi. Usikate tamaa mkuu.
Aisee. Tujipe muda. Kila kitu kitajulikana !!!Lilikuwa tangazo la kichwa hilo,
Huyo mpare bado siamini kama anamuweza babe s,
Naamini yupo kwa ajili ya kumfichia siri mtu Fulani tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tell me that I gotta do to please you baby anything you say I doJoe tomas
haaaahhaaaaa like azimuachi mtu salamaTell me why you lie,.. Bam bam
Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app