Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kichwa Kichafu eee, jana nikawa namuambia Aleyn kuwa ISIS yupo busy sana QUIGLEY ingawa nyiramba girl anaoneka anakawivu kwa mbaaali juu ya hilo. carbamazenine yeye hana nongwa na mtu maana toka azinguliwe na babe S amepooza sana.
ISIS wamembana na majukumu.

Ngoja nisambaze likes watu wakimbie nadhani unaelewa sina huruma kwwnye likes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…