Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Faida za kuendesha baiskeli
1. Ni njia ya haraka ya kusafiri mijini
2. Hakuna tatizo la maegesho
3. Itakufanya uwe fit na mwenye afya
4. Gharama nafuu za uendeshaji
5. Inafurahisha kuendesha (its fun)
6. Inapunguza foleni za magari
7. Inapunguza uchafuzi wa hewa (air pollution)
8. Unaokoa hela ya mafuta
9. Inapunguza kelele za magari mitaani
10. Inapunguza uchakavu wa barabara zetu
 
JE UNAJUA WASIFU WA MELI MAARUFU DUNIANI TITANIC ILIYOZAMA MIAKA 100 ILIYOPITA? soma hapa...
WASIFU WA MELI YA TITANIC
RMS Titanic ilikuwa meli kubwa ya abiria ya Uingereza ambayo ilizama katika kina bahari cha Kaskazini mwa Bahari ya Atlantic mwaka 1912 tarehe 15 mwezi machi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…