myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Rocky site[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakuna kitabu hata kimoja cha dini kisichozungumzia kifo kwa kila chenye roho kwa hivyo fahamu kufa nilazima sio hiari kuna hitaji maandalizi huko twendako sio kutishana hio ni ukweli.Acha vitisho. Jifunze kuwakaribisha watu kwa Mungu kwa upendo kwa sababu ni upendo na karama za Mungu pekee ndivyo vina nguvu ya kufanya hivyo. Vitisho, dharau, makaripio, condemnation bila upendo ni kazi bure na unaweza ukajikuta unafanya kazi ya shetani huku ukidhani kuwa unamfanyia kazi The I Am God the Almighty....
By the way jina lake daima huanza na herufi kubwa. Huyo m'mungu pengine unazungumzia vimiungu vya Misri huko, Roma, Ugriki ya kale au kabila lenu. Blessings....