Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hahahahaha[emoji380] [emoji117] Jogoo
HahahhaaKisu [emoji380] kipo tayari kuchinja jogoo
carbamazepine mbona unaniweka kwenye majaribu weye mwanamke.
Majaribu gani tena x darling?carbamazepine mbona unaniweka kwenye majaribu weye mwanamke.
Hakuna shida mkuu mambo vipi lakiniMzee wa liver nimetimiza ahadi yangu,lisaa limoja kabla ya game,nimepata chaka huku mpakani mwa msumbuji la kuangalia game.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha Leo utaongea sana muda umewadia[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nimepata sehemu safi kabisa yenye network na naangalia game ya Chelsea hapa huku nangoja kumchinja [emoji380] jogoo
I'm watching EPL now liver vs ArsenalI know
Yaani we acha tu!
Hahahaha
Sasa nina hakika ataziona tu!
Hahahaha
Sun dayjumapili
Hahahhaa hii Kali sana