Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
sijambo ila weye mwanamke umekuja kichokoz c kwa avatar hyo aiseeehView attachment 576126hujambo wewe mwanaume
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] AiseeeJakotoo,
Tatizo mnapenda vitu vitamu viliwe na watoto tu kumbe kila mtu anavitamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema enzi zetu hizo mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]enzi zao hizo
acha tu mawazo yang yapo mbali kwa kweliMajaribu gani tena x darling?
Eeehh [emoji23][emoji23][emoji23]acha niitoe niweke hiisijambo ila weye mwanamke umekuja kichokoz c kwa avatar hyo aiseeeh
Jamani acheni ubahiri elfu10 tu?mnapiga mahesabu hayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*NAKUKUMBUSHA TU: Ukihonga elfu kumi kumbuka yafuatayo;*
1. Ni bei ya sato kilo moja
2. Kuku wa nyama mmoja
3.kilo 2 za nyama ya ng'ombe
4.Sukari kilo 3
5. Donna kilo 4
6. Mchele kilo 4 super kabisa
7. Maziwa ya ng'ombe lita 5
8. Soda take away 10
9. Castle lite 4
10. Petrol lita 5
11. Nauli ya safari 13 za mwendo kasi
12. Chocolote ivory ndogo 20
13. Mayai tray mbili kizungu
14. Nauli na kiingilio cha mechi ya Simba na Yanga
[emoji3][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Lipo tayari[emoji23][emoji23]Lile bakuli umeandaa?[emoji22] [emoji22]
Kwani na mimi nipo kwenye kundi hilo? Ila kweli sina kadi ya kliniki[emoji19] [emoji19] [emoji19]
[emoji11] [emoji11] [emoji11]Mimi sijui lolote kuhusu soka ila Aseno inanikosha sana kwa kweli. Ndo maana nimeamua kuanzia ushabiki huko [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]enzi zao hizo
Kichwa kichafu nakuona selfie tu!acha tu mawazo yang yapo mbali kwa kweli
mzee mwanzang utaumwa blood pressure kushabikia huko ulipo kwa wenger
[emoji11] [emoji11] [emoji11]Msimu huu naamini Aseno hawafungwi hata mechi moja.Timu ya kibabe hiyoooo
Huyo ndo KK[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Aiseee