Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kabisaaa. Yaani hapa raha balaa! Kuna kijichupa cha waini hapa nilipewa eti nikitunze ngoja niangalie kama kimepatwa na vumbi nikifute. Nilikuwa sijui kama kushabikia mpira raha hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiweza kuvumilia maumivu ya kushabikia Aseno hata ndoa iwe na magumu kiasi gani haiwezi kukuumiza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…