Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee!!! Nilisoma mahala pia wanasema kwamba hata uwe na 12 packs na unashinda gym ukioa chubby woman, kakitambi ka kufutia simu utakapata tu kwa sababu mapochopocho na madikodiko utakayokuwa unaadaliwa si ya sayari hii....

Chubby is the way to go then particulary if msambw......[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Ukiweza kuvumilia maumivu ya kushabikia Aseno hata ndoa iwe na magumu kiasi gani haiwezi kukuumiza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu, usilinganishe NDOA TAKATIFU na vitu.......[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…