Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu Kuna nini wengine tumelogelezwa humu hatujui nini kinaendelea na link yenyewe aifunguki

CantstopwontStop

Nimeiona kwa bahati mbaya wakati haijapigwa panga! Kuna jamaa alikuwa anaongelea jinsi alivyowapanga msitari wadada/wake za watu kama 11 hivi wa humu JF! Sikusoma comments zote, hiki kichwa changu cha panzi hakina uwezo wa kuabsorb info nyingi kwa wakati mmoja! [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…