Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
*Mashabiki wa arsenal wanalaumiana kwann hawaku foward sms kwa watu 15*
CantstopwontStop
Baba Viv huyo hoiii. Goli nne bila majibu. Asenooooo !!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Too theoretical. Vipi zile siku mmenuniana hamuongeleshani? Stress yake yenyewe haina madhara?