Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Jukwaa la Siasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu wameshamstukia huyu dikteta uchwara, nduli na mvunja mshikamano nchini. Hata waliompigia debe 2015 wameanza kumzodoa hadharani tena bila chenga.
Wamuite huyu naye aliyeyatamka haya mchochezi na pia kumpima mkojo.
Kikwete aibua mjadala wa utawala bora, demokrasia
Jamani hulali? What is going on?02:51
Yaani acha tu
Jukwaa la Siasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu BAK wereva yu a... Kuja huku Aseno imemtungua mtu 2 o'clock, yaani hiziiii[emoji111]
JK, Vasco Da Gama, Mkwere, Mpole, Mr. Dhaifu, Mtu wa Kucheka cheka, Mlezi wa mafisadi, fisadi na majina mengine mengi ya dharau aliyopachikwa na wapinzani leo amegeuka shujaa. Ana moral authority gani huyu ya kuongelea utawala bora wakati ni pingamizi la kikatiba tu ndo linamweka nje vinginevyo angekuwa ndani kwa ufisadi, mikataba mibovu ya madini, pesa za Escrow na uozo mwingineo? Siyo yeye aliyetia sahihi sheria hii ya makosa ya mtandao tunayohangaika nayo? Mnaongelea nini?Mkuu wameshamstukia huyu dikteta uchwara, nduli na mvunja mshikamano nchini. Hata waliompigia debe 2015 wameanza kumzodoa hadharani tena bila chenga.
Wamuite huyu naye aliyeyatamka haya mchochezi na pia kumpima mkojo.
Kikwete aibua mjadala wa utawala bora, demokrasia
Livapuu 3-wenga 0
Hasa wakati huu watu wamelala ni everything goes. Namweka huyu binti wa Kihabeshi muuza nyumba (realtor) kule Los Angeles angalau atusaidie kusukuma liusiku hili likubwa. Na kesho kutakapokucha bila shaka atakuwa ameshafika Tukuyu kumsalimia mzee mmoja mashuhuri muuza maparachichi [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahaha lol! Huu uzi mama wa JF si everything goes Mkuu?
Yani hata me mwenyewe sielewi ghafla tuu nashtuka na usingizi unakata hapohapo [emoji20]Jamani hulali? What is going on?
Itabidi nikupige marufuku kuingia katika uzi huu hata kwa mwezi mzima kwa sababu unakoelekea siyo kuzuri. Halafu kesho kazini utakuwa umechoka balaa. Nikupigie nikugombeshe? UNANIUDHIIII !!!Yani hata me mwenyewe sielewi ghafla tuu nashtuka na usingizi unakata hapohapo [emoji20]
JK, Vasco Da Gama, Mkwere, Mpole, Mr. Dhaifu, Mtu wa Kucheka cheka, Mlezi wa mafisadi, fisadi na majina mengine mengi ya dharau aliyopachikwa na wapinzani leo amegeuka shujaa. Ana moral authority gani huyu ya kuongelea utawala bora wakati ni pingamizi la kikatiba tu ndo linamweka nje vinginevyo angekuwa ndani kwa ufisadi, mikataba mibovu ya madini, pesa za Escrow na uozo mwingineo? Siyo yeye aliyetia sahihi sheria hii ya makosa ya mtandao tunayohangaika nayo? Mnaongelea nini?
Chuki ulizonazo kwa huyu jamaa dah !!! Uko consistent miaka na miaka na badiliko pekee ni pale ulipokengeuzwa na gia ya angani...
Wafuatiliaji wa siasa na wanasiasa hawa haki ya nani kazi mnayo !!!
Hasa wakati huu watu wamelala ni everything goes. Namweka huyu binti wa Kihabeshi muuza nyumba (realtor) kule Los Angeles angalau atusaidie kusukuma liusiku hili likubwa. Na kesho kutakapokucha bila shaka atakuwa ameshafika Tukuyu kumsalimia mzee mmoja mashuhuri muuza maparachichi [emoji23][emoji23][emoji23]
Chuki ulizonazo kwa huyu jamaa dah !!! Uko consistent miaka na miaka na badiliko pekee ni pale ulipokengeuzwa na gia ya angani...
Wafuatiliaji wa siasa na wanasiasa hawa haki ya nani kazi mnayo !!!
Kuna wakati nilizama kabisa katika siasa. Baadaye nikagundua kuwa it is just a game kucheza na akili za watu. Unasema hichi halafu unatenda hichi. Na kwetu barani Afrika hali ni hopeless - si watawala si wapinzani wote majiganyanza. Wapinzani watapiga makelele wee halafu when it is their time to eat mambo ni yale yale tu. Hili halishangazi kwa sababu nao ni zao la mfumo ule ule uliozalisha hawa walioko madarakani kwa sasa.Hahaaa...Kuwa mwanasiasa lazima uwe mnafiki na muongo, vinginevyo siasa is not your thing! [emoji3][emoji3]