Ulikuwa unaishi temeke au kwa azizi Ali?Bondia Omar Yazidu vs...Wapi wapi bar
Power Ilamba vs power Mabula...Wapi wapi bar... Ilikuwa nikwenda kwa mguu tu.Unakatisha makaburini,taifa, sigara,haooo....
Enzi hizo Chelsea ina kuwa na mchezaji mmoja tu wa England. New castle ndio ilikuwa na nguvu dhidi ya Man,Arsenal na Liver. Naikumbuka sana Bolton na West hamHao vijana walionza kushabikia mpira enzi za 2005 wakati chelsea ndo inachomoza ndiyo wanahamahama timu hovyo ila sisi tulioshuhudia class of 92(wakubwa wataelewa) tunaamini katika timu moja hahahaha,tusibezane jamani ni mtazamo tu.
Shabiki wa United,Liverpool na Arsenal waje hapa tuzungumzie soka la zamani,hao wa chelsea na man city itabidi tuulize kwanza umri wao
Mbona chuki rafiki?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Dalali kamuuzia msikiti mmasai huko ikwiriri anadai ni nyumba yake[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi,jana na leo inshallah na kesho panapo majaliwaBob12
CantstopwontStop